Uchakataji wa Mazao ya Uvuvi
Kuwawezesha wanawake, vijana, na wajasiriamali wadogo kupata ujuzi wa vitendo na maarifa ya kisasa kuhusu usafi, usindikaji, uhifadhi, ufungashaji, masoko na uendeshaji wa biashara kwa kutumia mbinu rahisi, rafiki wa mazingira, na teknolojia za kidijitali