JIFUNZE • KUA • FANIKIWA
Jifunze ujuziunaohitajika leokwa maisha bora.
FursaPlus inakuunganisha na kozi za vitendo, maarifa yanayotumika moja kwa moja, na fursa za kukuza biashara au taaluma yako.
Kozi za vitendoJifunze kwa kasi yakoCheti baada ya kuhitimu




Programu inayotekelezwa kwa ushirikiano na

Makundi ya kozi
Maudhui pendwa
Jinsi FursaPlus inavyofanya kazi
1
Chagua kozi
Tafuta kozi inayolingana na malengo na mahitaji yako.
2
Jifunze popote
Soma kwa simu au kompyuta kwa ratiba inayokufaa.
3
Pata maarifa na cheti
Kamilisha mafunzo, fanya tathmini na pakua cheti chako.
A
"
FursaPlus imenisaidia kuboresha usimamizi wa biashara yangu na kuongeza wateja kupitia mbinu za kidijitali.
Asha Mussa
Mjasiriamali, Mwanza








