Karibu,FursaPlus!


Ingia

Jisajili

Masharti ya Matumizi

Karibu Fursa Plus! Kwa kutumia huduma zetu, unakubaliana na masharti haya. Tafadhali yasome kwa makini ili kuelewa haki na wajibu wako.

1. Kukubaliana na Masharti

Unapotumia Fursa Plus, unathibitisha kuwa umeyasoma na kukubali Masharti ya Matumizi. Ikiwa hutakubaliana nayo, tafadhali usitumie huduma zetu.

2. Majukumu ya Mtumiaji

  • Kutoa taarifa sahihi unaposajili akaunti.
  • Kulinda taarifa zako za kuingia (password & vifaa unavyotumia).
  • Kutotumia huduma zetu kwa njia zisizoruhusiwa au zenye madhara.

3. Vitendo Visivyoruhusiwa

  • Kufanya shughuli kinyume na sheria za Tanzania.
  • Kujaribu kudukua, kuharibu, au kuingilia mifumo yetu.
  • Kujifanya mtu mwingine au kutumia taarifa zisizo zako.

4. Uwajibikaji

Fursa Plus haitawajibika kwa hasara yoyote inayotokana na matumizi ya huduma zetu. Unatumia jukwaa hili kwa hiari yako.

5. Mabadiliko ya Masharti

Tunaweza kuboresha au kubadilisha Masharti haya kadri tunavyoona inafaa. Kuendelea kutumia huduma zetu ni ishara ya kukubaliana na mabadiliko hayo.


Sera ya Faragha

Tunathamini faragha yako. Sera hii inaeleza jinsi tunavyokusanya, kutumia, na kulinda taarifa zako unapotumia Fursa Plus.

1. Taarifa Tunazokusanya

  • Taarifa binafsi: jina, namba ya simu, barua pepe, n.k.
  • Taarifa za matumizi: kurasa unazotembelea na vipengele unavyotumia.
  • Taarifa za kifaa: aina ya kifaa, mfumo wa uendeshaji, na anwani ya IP.

2. Jinsi Tunavyotumia Taarifa

  • Kuboresha huduma na uzoefu wa mtumiaji.
  • Kukutumia taarifa muhimu au matangazo ya huduma.
  • Kuboresha usalama na kuzuia matumizi mabaya ya jukwaa.

3. Kushiriki Taarifa

Hatuzuzi taarifa zako. Tunaweza kushiriki data yako tu pale:

  • Kwa watoa huduma wanaosaidia uendeshaji wa Fursa Plus.
  • Inapotakiwa na sheria au mamlaka husika.
  • Kama kutatokea mabadiliko ya biashara (mfano: mauzo au muunganiko).

4. Usalama wa Data

Tunatumia mbinu za kisasa kulinda taarifa zako, lakini pia tunakushauri kulinda taarifa zako binafsi kama nywila.

5. Haki za Mtumiaji

  • Kuomba kuona, kusahihisha, au kufuta taarifa zako.
  • Kujiondoa kwenye matangazo ya masoko.
  • Kutumia haki zinazokulinda chini ya sheria za faragha.

6. Mabadiliko ya Sera

Tunaweza kuboresha Sera hii mara kwa mara. Kuendelea kutumia huduma zetu ni ishara ya kukubaliana na mabadiliko hayo.

Kwa maswali au malalamiko, wasiliana nasi kupitia
support@fursaplus.com